Nimetumia kama mwaka mmoja hivi,kabla haikuwa kusumbua,fundi anasema huenda maji yaliingia maana siku ya tukio nilimwachia kijana wangu alikuwa akicheza game sasa sijui kilichoendelea,siku ya pili nawasha haikuwaka.Laptop nadhubuti haiwezi kufa tu kirahisi namna hiyo, ja uliinunua mpya au iliyotumika? Na imeitumia kwa muda gani na je ilikuwa inasumbua kabla ya hapo, kama ilikuwa inasumbua ni tatizo gani lilikuwa linajitokeza mara kwa nara?
Asante kaka,mimi sifahamu sana kukagua hivyo ulivyovitaja,ila power ilikuwa sawa,hata nilipimpelekea fundi wakati anapima alisema kuna sehemu moto unaenda lakini upande wa pili haipokei sasa aliniambia inaweza kutengenezeka na aliniambia gharama ni shilingi 180000,vifaa na fundi.Unaposema Computer haiwaki unamaanisha nini??
Je ukibonyeza On inaonyesha moto umeingia ila kioo hakionyeshi kitu??(Booting)...
Nilinunua mpya kabisa tena dukaniLaptop nadhubuti haiwezi kufa tu kirahisi namna hiyo, ja uliinunua mpya au iliyotumika? Na imeitumia kwa muda gani na je ilikuwa inasumbua kabla ya hapo, kama ilikuwa inasumbua ni tatizo gani lilikuwa linajitokeza mara kwa nara?
Niuzie kama chuma chakavu 30000Asante kaka,mimi sifahamu sana kukagua hivyo ulivyovitaja,ila power ilikuwa sawa,hata nilipimpelekea fundi wakati anapima alisema kuna sehemu...
Mkuu specs zake zipoje? 180k itategemea na uzuri wa hio laptop.Habari za asubuhi wanajamii wenzangu,poleni na hongereni kwa kazi za kujitafutia ridhiki za kila siku.
Nipo hapa leo kuomba msaada kwenu kama mada nilivyoitambulisha hapo juu.
Laptop yangu ilizima ghafla na baada ya kumpelekea fundi aliniambia tatizo lipo kwenye mother body ya laptop hiyo na aliniambia ili ifanye kazi ni lazima ninunie mother body nyingine.
Swali langu ni ie ufanisi wa komputa hiyo baada ya kubadilishwa utakuwa sawa au kuna matatizo gani mara nyingi komputa zikibadilishwa huibuka?
Je inaweza kudumu kwa muda mrefu au nianze tu mchakato wa kutafuta mpya?
Nahitaji mchango wenu wa mawazo,sielewi maana ni kama bado mpya.
Asante sana.
Je ukibonyeza On inaonyesha moto umeingia ila kioo hakionyeshi kitu?(Booting)
Mkuu yangu inashida hii. Tatizo ni nini na unanishauri nini