Msaada kwa wanaoifahamu huawei y300

Msaada kwa wanaoifahamu huawei y300

adata5

Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
69
Reaction score
8
Habari wataalamu wa hili jukwaa nimeinunua hiyo cm ina siku tatu tu nataka ni unlocke iwe ina ingiza simu card yoyote kwan sasa hvi inatumia tgo peke yake je kuna madhara either network au madhara yoyote yatakayoipata baada ya kunlock na kama ikatokea imeharibika kwa kuwa ipo kwenye warant nikirudisha tgo watakubali au ? Na mnanishaurije au niiache hvyohvyo natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ukisha unlock simu unapoteza warrant. Ninatumia hiyo simu mwezi sasa, nilikaribu ku-unlock kwa kutumia taratibu na unlock code nilizopewa na Huawei wenyewe nikafanikiwa lkn bado haikukubali line nyingine, kwa hiyo ilitakiwa ku flash i guess,nikaachana na huo mpango nikai lock kama ilivyokuja. Niliwahi ku root galaxy mini,nilipokuja ku unroot simu ikawa haipo stable,wkt mwingine inazima yenyewe ikibanwa kdg, nimei upgrade toka froyo kwenda gingerbread.
 
Mkuu nashukuru sana kwa kushare maujuz artirist umenifungua kidogo yako viber inakubali
 
Sina uhakika kwa upande wa simu,ila kwa modem mi tangu nianze kuzichakachuwa hakuna iliyowahi kunisumbuwa. Sasa line 1 si utakuwa mtumwa na network za kibongo za kulenga kwa manati. Tusubiri wengine waje.
 
hiz machine ziweza kuunlockiwa bila shida yeyote, m mwnyw nnayo na nmeshaiunlock, cha kufanya ni ingia kwny playstore download app inaitw unlock huawei mobile then ukiingia kwny hyo app utakutana na maelezo yote ya jinsi ya kufanya...inachotakiwa ni wewe kuwa na access ya online payment kwa sababu code za kuunlock simu yako unazinunua
 
Hv mkuu nikinunua online payment itanicost kama sh ngapi hv
 
Hv mkuu nikinunua online payment itanicost kama sh ngapi hv

Check na jamaa yupo hili jukwaa au jukwaa la matangazo anafanya hiyo shughuli mradi muelewane tu,nadhan ni nafuu kuliko hiyo ya online,muhimu ni kwa ww kumuamini hana shida. Ana thread inasema fundi simu aina zote,na km upo dar anapatikana kariakoo karibu na akiba bank
 
Vipi kuhusu kudownload YouTube?mi natumia hiii simu mwezi sasa lakini sijaweza kudownload video yoyote.hata whatsapp inagoma.
 
Vipi kuhusu kudownload YouTube?mi natumia hiii simu mwezi sasa lakini sijaweza kudownload video yoyote.hata whatsapp inagoma.

mkuu kuhusu whatsapp ingia playstore utaona app yake ndio ya kwanza kabisa.
 
Back
Top Bottom