Habari wanajamii,naombeni kuuliza eti ni vitu gani vya muhimu natakiwa kuvilipia kabla sijatia pua yangu chuoni....nimechaguliwa University of Dar es salaam,BA with education

Hapana ndugu sina maana hiyo mimi natumia simu halafu nimejaribu kuingia web ya chuo inaleta hitilafu na nimeweka hayo maelezo ili niweze kupata msaada ambao nitakuwa nauhitaji sasa itakuwaje pale wa yule Mzumbe akinieleza ya chuo chake...samahani ndugu kama nimekukwaza kwa mada yangu

NAOMBA MSAADA WA WESITE YA CHUO CHA COMMUNITY DVT TRAININ INSTITUTE (cdti.ac.co)YAAN UKIFUNGUA THROUGH HIYO NLOANDIKA HAPO HUPAT CHOCHOTE KIPYA NA MARA YA MWISHO WALI UPDATE MWEZ WA SITA KWA ANE JUA PLZ NIPE MSAADA\

hivi jamani ile 77400/ kwa ajili ya id,exam fee etc unazilipa kwenye pay in slip moja au? pia kwenye lile jedwali la tuition fee 2012/13 mbona program kama ba of sc in actuarial sc sijaiona naombeni msaada hapo?