Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Mama aende ofc yoyote la lapf iliyoko karibu nanyi kabla ya 90 dayz atalipwa mafao ya uzazi! zones zipo MZa, Iringa, Dar, Dodoma n Ausha, hata kwa muajiri wake kuna fomu piaHabarini wapendwa.
Naomba msaada kwa wanachama wenye
uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.
Ahsanteni!
hapo kwenye red umejihami vizuri maana humu jf kuna watu wana mambo ya ajabuHabarini wapendwa.
Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.
Ahsanteni!
Ngoja tusubiri wenye uzoefu huenda tukapata msaada toka kwao..Vip na kwa wanaume hawapati? Kwan nami ni mwanachama na mwezi wa tisa mke wangu alijifungua je siwezi pata mafao?
Mama aende ofc yoyote la lapf iliyoko karibu nanyi kabla ya 90 dayz atalipwa mafao ya uzazi! zones zipo MZa, Iringa, Dar, Dodoma n Ausha, hata kwa muajiri wake kuna fomu pia
Hivi kuna mtu alishawahi pata hili fao la uzazi kweli? Maana miye nimefuatilia mpaka nimekata tamaa mwenyewe, kila siku dana dana.
Sidhani kama ni kweli. Uko wapi?
Habarini wapendwa.
Naomba msaada kwa wanachama wenye uelewa na huu mfuko wa kijamii wa LAPF.
Ni hivi, si muda mrefu (wiki 2) toka Mke wangu ajifungue! Tumekuwa tukijiuliza kila leo
endapo kuna fungu (pesa) la mzazi ndani ya mfuko huu kwa wanachama. Mke wangu ni
mwanachama kwa miaka 3 sasa. Lengo ni kupata haki za mwanachama. Pesa za kumlea
mama na mtoto ninazo (maana najua wengine mtakuja na mitazamo tofauti). Msaada kwa
waelewa tafadhaki.
Ahsanteni!
Amini usiamini huu ni mwezi wa sita sasa naambiwa file langu lipo kwenye stage nzuri ya malipo na litalipwa muda wowote. Haya nilianza kuambiwa toka mwezi wa pili, mpaka sasa mwezi wa sita.
Kama mwenzangu ulipata (au unafanya kazi hapo), shukuru ila wengine tunajiuliza kama hii hela ndogo inachukua zaidi ya miezi sita, siku nikistaafu mafao yangu nitapata kweli au ntafia kwenye foleni nikiyangojea
Hawa lapf nao ni wezi wengine...ukifatilia malipo unaambiwa I one month utaingiziwa pesa...mpk sasa ni 4 month...kimyaaaaa

Mbona mimi wife alipata fasta. Pengine kwa kuwasaidia watu wa LAPF, hebu taja location ya hiyo ofisi ili nasi tujue.
Cha ajabu, form zao hazina sehemu ya kujaza next of kin. Eti mwanachama akifariki, basi hadi ndugu waende mahakamani kumteua mrithi.
Kingine kikubwa, wanawaogopa waajiri. Michango haipelekwi hadi miezi 7, 8 lakini hakuna wanachofanya!