Bwana we acha tu dunia ya sasa umalaya wa mtu haupimwi tena kwa fani au kabila, yaani ni ngumu mno, wewe nikuangalia tu kama anakufaa(na sisi wa imani tunashauri maombi pia). Ila wewe jiandae tu kiakili kukabiliana na changa moto mbalimbali katika ndoa maana mambo ni mazuri lakini pia nyakati fulani ni machungu, ndio hivyo ndugu milima na mabonde kwani kiukweli hakuna mtu anaweza ishi pekee yake bila mwenza, hata wasio taka ndoa huwa wana wapenzi/uzinzi.