Msaada kwa waliozoea Nokia Lumia

mishe bwoy

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
116
Reaction score
34
Habari zenu wakuu

Naomba kuuliza kwa wale waliotumia nokia lumia!! Je kuna jinsi ya kuchange mpangile wa apps uonekane kama android!! i mean from List view to Grid kaam android inavoonekanaga
 
1. update kwenda 8.1
2.nenda setting halafu start and themes chagua more tiles
3. eka middle tiles tatu kwenye homescreen kiupana
4.utapata muonekano close to android

by the way kama hupendi live tiles its better ukatumia android yako, fata kitu moyo wako unachopenda.


ukifata maelezo hapo juu utapata muonekano kama huo
 
Habari zenu wakuu

Naomba kuuliza kwa wale waliotumia nokia lumia!! Je kuna jinsi ya kuchange mpangile wa apps uonekane kama android!! i mean from List view to Grid kaam android inavoonekanaga


Unaweza kubadili start screen peke yake, lakini main menu haitakuwa kama android. Itabaki list view
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…