msaada kwa waliowahi kusoma nje ya Tanzania

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
610
698
wakuu nilikuwa nahitaji kujua kwa wale ambao walikwisha wahi kusoma diploma au degree ya kwanza mfano S.Africa ni vigezo gani vinatumika katika kubadilisha matokeo yako kupeleka katika mfumo wao na je nividhibitisho gani natakiwa kuwa navyo ili wanikubalie kubadilisha matokeo .
 
Unaweka matokeo kama yalivyo mradi uweke jina la bodi ya mitihani wenyewe wajua jinsi ya kuangalia international qualifications equivalent.
Eti ukisoma digilii sauzi tufanye University of Cape town unawezakosa kazi bongo?
 
Back
Top Bottom