Msaada kwa waliosoma Chuo Kikuu

Msaada kwa waliosoma Chuo Kikuu

Pure nomaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
1,158
Reaction score
1,388
Habari zenu wakuu

Naomba msaada kufahamu yafuatayo

1.Kama una below course work(16) unapata technical supp.Je hii technical supp ikoje?

2.Incomplete nayo ikoje?
 
1.Kama una below course work(16) unapata technical supp.Je hii technical supp ikoje?

2.Incomplete nayo ikoje?

1. Hutaruusiwa kufanya Semester Exam, utasubiri September conference ufanye supp. Madhara yake ni kuwa utaishia kupata grade C, hata ufaulu vipi.

2.Kama hujafanya task mojawapo, i.e tests, assignments utapata incomplete, hutaruusiwa kufanya mtihani. Baadhi ya vyuo wameondoa hiki kipengele hivyo ukikosa tests etc, unawekewa zero.

In short, kwa maisha ya chuo, ni bora ufanye paper upate zero, kuliko ku abscond!
 
Je kwenye kipengele namba 2 kama hutaruusiwa kufanya mtihani baada ya kupata incomplete nini kinafuata?cc prince hope
 
Acheni kudanganya watu. Kama una below 16 inategemea utaratibu wa chuo husika, au faculty au college.
Zingine, unaruhusiwa kufanya UE., Zingine huruhusiwi, maana yake ni carry over. Utasoma kozi hiyo mwakani.

Kama una Incomplete pia itategemea utaratibu wa chuo. Sasa hivi kuna vyuo hawahangaiki, wao wanaangalia maksi ulizo nazo, maisha yanaendelea. Zingine unacary over kama scenario ya hapo juu.
 
UDSM hamna kitu kama icho unachokizungumza
 
Kuna aina mbili za technical supp;

1.Kama hujafikisha course work marks inayohitajika kulingana na Chuo husika...unaweza ukaruhusiwa kufanya UE,sasa assume jumla ya marks zako ni B au B plus au alama yoyote nzuri lakini course work ulikua ni below na inayohitajika hapo utakua Una technical supp ila utafanya kutafuta course work marks.

2.Kama ulifanikiwa kupata course work inayohitajika kulingana na Chuo husika lakini UE hukupata nusu ya alama uliopata(inategemea na Chuo husika) na marks zako zimevuka C au C yenyew yani umefaulu hapo pia utakua na technical supp ila utatafuta marks za UE.

Kuhusu incomplete ni Ile hali yakutofanya tests au assignments au quiz au practical au chochote kinachochangia marks kwenye course work...ukimkuta mwalimu mnoko hiyo ni incomplete....sasa hukumu ya hii kitu inategemea na Chuo ...vingine shule imeishia hapo vingine Una rudia mwaka vingine unacarry over n.k.
 
UDSM hamna kitu kama icho unachokizungumza

na ndiyo maana akasema kila chuo kina utaratibu wake!
kwanza hakuwa na haja ya kuja kuuliza huku,maelezo huwa yanatolewa chuoni.na mtoa maada angesema chuo anachosoma.
 
1UDOM kama una below 16 ,una carry over,yaan mwakan unairudia koz yote,na kama hujafanya test,kaz yoyote,au mtihan wowote unapata Incomplete,adhabu yake kudisko
 
duu course work 16?? mna raha sana. kuna vyuo bila 20 ue utaisikia redioni

Kuna vyuo A inaanzia 80,na bado A zinakuwa kibao,na utakuta hakuna sup,Pia kuna vyuo vingine MTU anaweza kukeri kozi Hata miaka kumi bila kudisko,kuna vyuo vingine kozi wek ni 30 na bado watu karibu wote wanafikisha,kuna vyuo vingine ukipata incomplete,unakeri vingine unadisko,kuna vyuo vingine wanasoma kozi mpaka 13 kwa semista na wanapata A za kumwaga,waliofika chuo kikuu wanajua koz 13 zinavyofanana kwa chuo,kwa kifupi nirahisi kupata30 koz week kwa baadhi ya vyuo kuliko kupata 16 kwenye vyuo vingine.HUO NDO UKWELI ambao baadhi humu hawataupenda.
 
mfano mwecau A-80-100, B+ 70-79, B 60-69, C 50-59, D(sup) 40-49, 0-39 carry over
 
Kiukweli hio mimi naisikiaga tuu vyuo vingine hiyo ya kufikisha 16 sisi chuoni kwetu haipo kwa kweli

Kinacho takiwa ni ww kufikisha wastani wa 50 baada ya kufanya UE watajumlisha assignment + CAT Watapata wastani utafanya Ue watajumlisha wakitafuta wastani uwe umefikisha 50 kama huna hio Sup inakuhusu mwezi wa tisa ww usipo fanya CAT Au Assignment ujue sup inakuhusu ila Ue utaruhusiwa kufanya!

Na kwa sisi hapa Ukipata Sup 3 in one semister una Disco
 
Mkuu hiyo sio SUA kweli?
 
Soma prospectus ya chuo kikuu kwa mwaka wako husika, nadhan utakuta incomplete n kuondolewa chuoni
 
Back
Top Bottom