Kaputula La Marx
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 562
- 500
Mkuu sio UDSM kweli nauliza tuKuna kachuo x C inaanzia 40 ila ukiipata hyo kitambi kimekwisha semester nzma
Mkuu sio UDSM kweli nauliza tuKuna kachuo x C inaanzia 40 ila ukiipata hyo kitambi kimekwisha semester nzma
Hapo ndipo tofauti kati ya vyuo na vyuo vikuu inakujaKiukweli hio mimi naisikiaga tuu vyuo vingine hiyo ya kufikisha 16 sisi chuoni kwetu haipo kwa kweli
Kinacho takiwa ni ww kufikisha wastani wa 50 baada ya kufanya UE watajumlisha assignment + CAT Watapata wastani utafanya Ue watajumlisha wakitafuta wastani uwe umefikisha 50 kama huna hio Sup inakuhusu mwezi wa tisa ww usipo fanya CAT Au Assignment ujue sup inakuhusu ila Ue utaruhusiwa kufanya!
Na kwa sisi hapa Ukipata Sup 3 in one semister una Disco