Naomben msaada wenu kwa wale mliosikia kuhusu wanachuo wanaoitwa special diploma in education mwaka 2018 eti ni kweli na wao wanafanya mtihani wa form six mwakani sijaelewa naombeni wataalam wa elimu wanisaidie nielewe.
Ngoja nitoe ufafanuzi kidogo kuhusu special diploma, hawa ni wale waliomaliza form four direct wakachaguliwa kwenda chuoni wakasome diploma sasa ninasikia wale waliopelekwa in education wana mtihani wa form six mwakani 2021.