Msaada kwa waliochaguliwa DIT

Msaada kwa waliochaguliwa DIT

Kwa wenye kutaka kujua mazingira ya DIT yalivyo kuanzia hostels,mgahawa,walimu na maabara nakaribisha maswali yenu.

Karibuni.
Vipi kuhusu hostel nasikia nichache sana, vip kwa beng. first year wanaruhusiwa kubebwa na diploma mwaka wa tatu?
 
Hostels naskia ni tatzo mkuu nlikuwa hapo mwaka jana rafk yangu anayesoma b.eng akanionyesha room yao duuh usalama mdogo sana, vipi hizo za chang'ombe ziko vip? na kuna nyingine za off campus tofauti na hizo??
 
Sheria ya kubebana haipo sema inafanyika kiwizi wizi na wanabebana watu kama kawaida
 
Hostels naskia ni tatzo mkuu nlikuwa hapo mwaka jana rafk yangu anayesoma b.eng akanionyesha room yao duuh usalama mdogo sana, vipi hizo za chang'ombe ziko vip? na kuna nyingine za off campus tofauti na hizo??
Hostel ni chang'ombe na main campus tu,,,,,atleast main ulinzi wa kutosha japo wizi upo sababu ya muingiliano wa wanafunzi na watu wa nje
 
Hostels naskia ni tatzo mkuu nlikuwa hapo mwaka jana rafk yangu anayesoma b.eng akanionyesha room yao duuh usalama mdogo sana, vipi hizo za chang'ombe ziko vip? na kuna nyingine za off campus tofauti na hizo??
Swala la hostel ni tatizo hata kwa vyuo kama udsm
 
Mkuu iv system imekaa saw kwan kwa kuapply b.eng?! Maan kla nkchek naona chenga bado
 
Back
Top Bottom