Msaada kwa walio Waislam

Kuwa na kiasi kwa kila kitu ndio jambo la msingi.

Hizo nyingine ni mbwembwe tu.
 

Mashallah, Allah akuzidishie kheri
 
Beach kwenda sio tatizo ila atakapovaa mavazi ya ki beach beach wakat kuna watu wengine watamuona hapo ndipo utaingia knye uhara...hayo mengine hayafai lakin duh !!! Napataga taabu sana maana mm mpenzi sana wa music,kusikiza na kucheza tena niwe maeneo hayo ulotaja!!!!allah atusameh kwa kweli
 
Vip ungeuliza Quran na Mungu mwenyewe, hapa utachanganywa sana bora ungetafuta ukweli mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…