Msaada kwa walio na taarifa za Machame Health Institute

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,402
74,002
Naomba kujua kama chuo hicho MACHAME HEALTH TRAINING INSTITUTE - MOSHI kinapokea wanafunzi wa diploma direct FORM 4 from school--
Kuna tabia ya vyuo kuweka matangazo kuwa wanapokea form 4 kumbe mpaka awe na certificate ya clinical officer!

Mfano ni UDOM, hawapokei direct form 4 for diploma in clinical medicine lakini wanatangaza kuwa wanapokea!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom