PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,999
Kwa mm niaona password za mitandao ya kijamii si sheria kupeana so just wait mpaka mkiwa na mutual agreement na mkiona ni vyema hakuna wa kuwakataza. Just know kwamba inaboa unapochat na mtu halafu unafunguka kumbe sie mwenyewe uneyechat naye(such a betrayal!) yani what if wake zetu ni marafiki then mm nakuomba ww ushauri wa kiumeni then kumbe nilikuwa nachat na mkeo, kisha anamtell wife....can u imagine how ridiculous is that?
Kuhusu bank mara mkitoka tu honeymoon muweke mambo yote hadharani na mpange ni vipi mtakabiliana na haya maisha..nyie ni kitu kimoja. MM naona mkeo has to know all about your finances and so is the husband...Can u imagine ww umepatwa na tatizo ghafla una hela bank na mkeo hajui atazitoaje ili akusaidie?(she doesnt even know zipo in the first place!)