SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Naogopa kuUpgrade kwenda windows 8 kwa kuhofia kwamba labda applications au softwares zaweza kuwa incompatible with hiyo kitu, sasa naomba msaada wenu' 'vipi hizo previous programs mko nazo zinafanya au mpaka tusubiri developers kwa hizo next versions. Urgent please nisikose raha wana JF