Msaada kwa wajasilimali

huyu ni SHE!nitamtafutia kazi ya uhudumu wa baa pale chawote!infact ile baa wahudumu wake ni computer-literate kama yeye!anafaa huyu.tene amenona kweli.ana kiuno kama dondola

Ngoja nicontact na mpwa Fidel amwandalie makao kabisa. Inaelekea ana uzoefu sana huyu. Si umeona jina lake? Hahahaha!
 
Chrispin, Nguli, Ziondaughter, Geoff.....

Acheni usx-ngx

Jamaa kaanzisha thread yake nyinyi kama kina nani mje hapa kuharibu, kama Vipi anzisheni thread yenu, au tumianeni PM, NO INAKERA.

Safi sana MJ, kuna watu wanapenda umaarufu wa kijinga sana humu ndani.
 
Kama ni mjasilimali uliyejizatiti lete bidhaa uuze, tanzania kila kitu kipo na watu wanafanya kazil. Ukisema biashara isiyo na watu wengi hiyo haipo, njoo ushindane huku ukijitangaza am sure utapata.

Otherwise utwambie nini kinauzika huko kutoka tanzania.
 
lakini Caro,
kwa tanzania biashara za bidhaa ni ngumu sana(just in-case kama haupo tz).na unajua kabisa chinese wamespoil kila sekta kwa sasa.mimi sidhani kama itawork.

labda kwa mtu mwenye working capital kubwa sana,ambae anategemea returns after one year
 
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.

Kamanda mi nakushauri ungeenda kwanza Tz, ukaangalie ni bidhaa gani zenye demand kubwa ambazo itakuwa rahisi wewe kuzituma kule na kuziuza na wakati huo huo once utakapokuwa Tz utaona ni bidhaa gani ambazo zina demand kubwa UK na hivyo kuziagiza kutoka bongo-uk.

Vile vile itakuwa rahisi kuangalia na kupima bei ya soko imekaaje au hata kupata fursa ya watu watakaokuwa wanazihitaji hizo bidhaa TZ na UK.

MJ
 
mtaji bado sijajua sasa hivi ninachotaka kujua ni ideas kwa products ambazo ni marketable nyumani,thanx
 
habari zenu kwa wote!mimi newcomer kwenye blog hii ya jamii,lakini ni mpenzi wa blogu hii siku nyingi nisiongeee mengi,wajasilimali nilikuwa naomba ideas tofauti za kibiashara nilikuwa nafikiria siku moja nitaanzaa biashara ya export/import kutoka UK kwenda TANZANIA labda mngenisaidia ni bidhaa gani kutoka nyumbani kuja UK na kutoka UK kuja bongo ambazo ni marketable na supplier sio wengi.....ahsanteni.

Karibu,

Hii si blog, hii ni forum, kuna tofauti kubwa.

Blog ni ile ambayo mtu mmoja (ama na rafikize wachache) (w)ana i control na (w)anaandika anachotaka halafu wengine wanasoma au kusoma na kutoa comments zao.

Forum iko wazi kwa kila mwanachama kuanzisha au kuchangia topic.

Mfano wa blog ni kama ya Michuzi au ya Makamba.

Hii ni forum/ bulletin board.
 
I advice you to focus on anything hightech.Put focus on energy savings and environmental friendly products.

BUT also try serving what the public wants so that you wont alienate your business.Due to young/growing consumerism habits in TZ,try introducing new things that have long-term market Value.

And please don't bring used products,below quality products,or hazardous products.
From TZ to Uk your field narrows down to raw materials and very few consumer products,you wont have as many choices.BUT we do have hand made products in Tanzania that are of very high quality.

Cheers!
 
Back
Top Bottom