kiukweli sipendi sana kubishana na mambo ya dini, ila huko nnapoelekea nnatamani sana niifahamu uislamu in deep, tena staki nimfahamu mtume muhamad bali nataka nifahamu wengine walioendeleza jahazi. Halafu, ni lini jamani mtarekodi filamu ya maisha ya mtume muhamad hapa ulimwenguni. Sabu natamani nijue the way alizaliwa na kukua alipoanza huduma yake ya kufundisha na kusafiri sehemu mbali mbali, maisha yake binafsi na hadi kifo chake. Au kama kuna kitabu ambacho kinaelezea maisha yake kama kipo please naomba mnipe jina lake nikenda book store kule town nikanunue. Nawasilisha
Usipotaka Acha...
mkuu hiyo ni copy si maneno yangu na aliendika hapo ni danielhuwezi kumwelewa YESU huku majini Makatta, Subiani, Sheikhtaan yakiwa mwilini. Nakushauri piga nguruwe pande moja halafu rudia kusoma
Kwa Waislam na Uislam kwa ujumla, siyo Muhammad(S.A.W) tu hata Nabii Issa Jesus(A.W) hairuhusiwi kuigizia picha zao, wala kuwaigizia
mkuu hiyo ni copy si maneno yangu na aliendika hapo ni daniel
yesu kaamrisha kuua mara nyingi tu.
huwezi kumwelewa YESU huku majini Makatta, Subiani, Sheikhtaan yakiwa mwilini. Nakushauri piga nguruwe pande moja halafu rudia kusoma
Yesu mpenda ukweli na amani anasema kuwa YEYE NI MUUWAJI NA MNAFIKI;-
Matayo 10
34.Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
35 Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;
36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.
Yaani ana maana wewe na mama Mlaleo ni maadui!
Na wewe na mumeo pia ni maadui.
Yaanu yule jamaa nuksi sana! Ndo maana wakambamiza msalabani km kuku wa mtaani.
Dadadeki!