Msaada kwa ugonjwa huu wa kuku

Stayfar

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
1,097
Reaction score
2,312
Wajasiriamali wezangu, nimenunua Kuku tetea wa kienyeji ambaye amenivutia kumfuga,ila fuko lake la chakula limejaa toka Jana kiasi kwamba anapata shida kugeuza shingo,na ameanza kutochangamka. Je ni ugonjwa gani na tiba yake nini?. Nawasilisha
 
Anaweza Kuwa Amepata obstruction Ya Chakula, Kama Miba Ya Samaki Nk
 
Ahsante mkuu,hata kama jibu limechelewa na nimeshamla yule kuku,ila Nashukuru kwa kunijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…