Ada ni ile ile unaingia kwenye account uliyotumia kuomba....haina malipo tenaNaomba kujuzwa wadai kwa wale ambao tumekosa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza,kwa mfano awamu ya kwanza niliomba Udom,lakini pia kwa awamu ya pili nataka niombe tena hapo udom,Je kuna haja tena ya kulipiwa upya?au ile ada ya mwanzo ndo itatumika?
Utakosaje udom umepata division ngapNaomba kujuzwa wadai kwa wale ambao tumekosa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza,kwa mfano awamu ya kwanza niliomba Udom,lakini pia kwa awamu ya pili nataka niombe tena hapo udom,Je kuna haja tena ya kulipiwa upya?au ile ada ya mwanzo ndo itatumika?
Asante sana mkuuAda ni ile ile unaingia kwenye account uliyotumia kuomba....haina malipo tena
Omba kwa kuzingatia capacity ya course husika na ushindani pia
Sent using Jamii Forums mobile app
II ya 12,CBG
Udom unaweza kosa vizuri tu kuna kozi zina limit kama law huwa hawazidi 200 japo mwaka huu wameongeza kidogo.pia MD