Naombeni msaada wa kielimu, mdogo wangu kamaliza kidato cha sita EGM , ni kozi gani na vyuo vipi anastahili kwenda kusomea?
Naje?
Anaweza kwenda kusomea pilot au geology akati hana D ya physics o'level??
Naombeni msaada wenu wa kiushauri
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Naje?
Anaweza kwenda kusomea pilot au geology akati hana D ya physics o'level??
Naombeni msaada wenu wa kiushauri
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app