Smartphone yangu wakati nafanya video recording, video uwa ni ya dakika chache lakini MB huwa zinakuwa nyingi hii huwa inatokana na nini na hamna application ya kupunguza hizi MB.

Hiyo huwa inatokana na Setting kwenye Video.
Itakua umeset videoz za high Quality. Kupunguza MB nenda kwenye Camera Setting then chagua Quality ya Kawaida.