Msaada kwa network LG 4G LTE

Msaada kwa network LG 4G LTE

mmekutravella

Senior Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
100
Reaction score
33
Wandugu naombeni msaada wa namna ya kupata 3G kwa simu yangu ya LG 4G LTE natumia line ya airtel ila kwa network inasoma G ambayo inakuwa very very slow kwa net..msaada ndugu zangu..nimepiga airtel wananiambia wametuma setting ila hamna mabadiliko
 
Hakikisha kwanza imekubali kusajili akaunti yako ya gmail.com.

Kisha ingia setting>mobile networks>access point name;-
Name>airtel internet.
APN>internet.

Harafu hakikisha kwenye network mode chagua hii;-
LTE/WCDMA/GSM (auto connect)
 
Asante sana ndugu yangu kalendi gmail iko poa ma jizo setting ziko poa ila tatizo ni hapo chini kuna LTE prefered na 3G nimechagua 3G ila bado inabaki na G tuu
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ndugu yangu kalendi gmail iko poa ma jizo setting ziko poa ila tatizo ni hapo chini kuna LTE prefered na 3G nimechagua 3G ila bado inabaki na G tuu

Nilikuwa na LG P769 T-Mobile yenyewe ilikuwa 2G na 4G.

Ilikuwa haina 3G nilikuwa nikitaka hai spidi nazima 2G na nikitaka kubalansi chaji nawasha 2G.

Labda na wewe jaribu kuzima hiyo 3G.
 
Last edited by a moderator:
kama ni tmobile ya 1700mhz haitasoma 3g kabisa utafute simu nzuri
 
Back
Top Bottom