msaada kwa ndungu huyu

msaada kwa ndungu huyu

Lutena

Member
Joined
May 26, 2015
Posts
31
Reaction score
4
wakuu hamjambo? nina jamaa yangu kaniomba ushauri so nami nikaona nizid kuuliza kwa ufafanuzi zaid, Anataka kujua yeye huwa mpenzi sana wakunywa pombe zile kali hasa hasa valuu na konyangi the power hivyo anata kujua kuhus hizi pombe huwa zina madhala ngan ktk kusex maana anadai akinywa konyangi anakuwa na nguvu isiyo kifani so anashindwa kujua huo wingi wa nguvu hiyo huwa hauna madhala kweli nawadhilisha ntashukuru kwa ushaul wenu asanten
 
Unajua maana ya konyagi
K-kunywa
O-ongeza
n-nguvu
y-yako
a-angalia
g-gongo
i-inauwa
Mwambie aendelee to!
 
Back
Top Bottom