Nywilla
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 379
- 350
Ndg wanajukwaa kuna ndg yang mmoja ni mwajiriwa lakini mhitimu wa form four 2010, anataka kusoma Advanced level huku anaendelea na kaz, Je inawezekana kusoma tuition then akaenda kufanya mtihani wa six baada ya mwaka mmoja au miwili msaada tafadhali nitashukuru!.