Msaada kwa mwenyeji wa Kisarawe

Podcast

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
705
796
Wakuu habari za muda huu.
Naomba msaada kwa mtu yoyote anaepajua au aliyewahi kufika kisarawe mkoani pwani...naomba kujua

-Muda unaoweza kutumia kutoka mjini DSM mpaka Kisarawe.
-Gari au usafiri naweza kupata wapi stendi (Public transport)
-Nauli yake mpaka kisarawe
-Pia nataka kwenda na kurudi siku hio hio je inawezekana?

Naomba kuwasilisha.
 
Inategemea na wewe unaishi wapi? Kutoka gongo la mboto mpaka kisarawe. haizidi dk 30 na nauli yake ni 500.

Zingatia: kutoka gongo la mboto mpaka kisarawe bus stop ni karibu kuliko kutoka gongo la mboto kwenda chanika bus stop.

Nimeenda kisarawe zaidi ya mara 50.
 
Naanzia magomeni ila nimekupata vizuri sana. Shukrani mkuu
 
Inategemea na wewe unaishi wapi? Kutoka gongo la mboto mpaka kisarawe. haizidi dk 30 na nauli yake ni 500.

Zingatia: kutoka gongo la mboto mpaka kisarawe bus stop ni karibu kuliko kutoka gongo la mboto kwenda chanika bus stop.

Nimeenda kisarawe zaidi ya mara 50.
Nauli ni 400 kiongozi
 
Kuna shamba naenda kuliona
Kisarawe Ni kubwa Sana shamba liko eneo gani? Kijiji kipi? .Vinginevyo Kama huna gari private ukishuka kisarawe mjini chukua boda boda.hakuna vibasi vya kwenda mashambani
 
Kisarawe wilayani, au ukisema mjini mabasi yanapoishia ni karibu sana na Dar, na usafiri ni rahisi kama ilivyoelekezwa awali. Ila kweli lazima uelezee hilo shamba liko wapi mfano, kama ni tarafa ya Mzenga ni bora upitie Mlandizi ndiyo rahisi. Huko ndani zaidi inategemea muda unaotegemea kwenda na kama kwa public transport, unaweza kushindwa kurudi siku moja. Mimi mwenyeji wa wilaya ya Kisarawe.
 
Wakuu habari za muda huu.
Naomba msaada kwa mtu yoyote anaepajua au aliyewahi kufika kisarawe mkoani pwani...naomba kujua

-Muda unaoweza kutumia kutoka mjini DSM mpaka Kisarawe.
-Gari au usafiri naweza kupata wapi stendi (Public transport)
-Nauli yake mpaka kisarawe
-Pia nataka kwenda na kurudi siku hio hio je inawezekana?

Naomba kuwasilisha.
Usisahau kwenda kumsalimu mkuu wa wilaya hyo,ni mtu mkarimu Sana'a
 
Back
Top Bottom