Msaada kwa mwenye uzoefu na interview za Tanroads

NONGWA

Senior Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
142
Reaction score
116
Naomba msaada kujua ni aina gani ya maswali yanaulizwa kwenye interview za Tanroads hasa kwa nafasi za SHIFT INCHARGE. Asanteni
 
Wakuuu mawazo yenu hapo kwa mdau unaenda kupiga mkoa gani mkuu?
 
Jamani mwenye uzoefu wowote kuhusu maswali ya interview kutoka TANROAD position ya ADMINISTRATIVE ASSISTANT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…