Msaada kwa mwenye uelewa juu ya kozi ya architecture

Msaada kwa mwenye uelewa juu ya kozi ya architecture

Captain Doug

Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
60
Reaction score
20
sorry wadau mimi nimechaguliwa bachelor of technology in architecture chuo cha MUST,mwenye uelewa na kozi hii katika mfumo wa ajira na hata kujiajiri pia changamoto zake naomba unijuze,haijarishi umesoma MUST au ARIDHI msaad wako ni muhm kwangu..aksanteni
 
koz miaka mitano ajira jitahada zako!
 
Yaani mpk umechaguliwa ndo unataka kujua?? Afu mpk sasa huijui architectr vizur?..daah...bora hujaenda ardhi,,ungearisha mwaka ww!
 
Back
Top Bottom