MSAADA KWA MWENYE KUFAHAMU.

MSAADA KWA MWENYE KUFAHAMU.

kabagile

Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
64
Reaction score
11
Kwa yeyote mwenye taarifa ya chuo cha kilimo na mifugo cha IGABIRO-MULEBA. Basi naomba anipe detail zake kwa wanafunzi wa Cheti(certificate) kwa mwaka huu wanahitajika kuwa na vitu gani? sare zao zikoje? wanafungua lini malipo yakoje kwa awamu ngapi inalipwa nk? Kwa mwenye kufahamu naomba msaada ili kumfikisha mdao wetu amechaguliwa kwenda pale lkn hajapata fomu yakujiunga.
 
Back
Top Bottom