Msaada kwa mwenye Div. IV ya point 26

Msaada kwa mwenye Div. IV ya point 26

Nonji

Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
25
Reaction score
8
Wakuu bila shaka wote wazima pande hizi!
Niende kwenye mada, Hivi mtu aliyepata division four ya point 26 anaweza kusomea nini maana hajachaguliwa popote??

Msaada tafadhali!
 
Write your reply...kama ana Credit(C) tatu katika masomo yasiyo kuwa ya dini Anaweza kusoma form five private,, second option ni chuo course yoyote ya art mfano community devolmnt law n.k thirfd option ni veta
 
Back
Top Bottom