A andy mchokozi Member Joined Jan 25, 2012 Posts 42 Reaction score 5 Mar 28, 2012 #1 Yeyote mwenye Adobe PDF ile wanaotumia ku editia vitabu na magazeti jamani tujulishane, kwani nimehangaika sana kuitafuta
Yeyote mwenye Adobe PDF ile wanaotumia ku editia vitabu na magazeti jamani tujulishane, kwani nimehangaika sana kuitafuta
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 19,026 Reaction score 22,563 Mar 28, 2012 #2 kuna adobe pagemaker ambayo siku hizi inajulikana kama indesign, ndio hiyo unayomaanisha? Adobe wana software nyingi sana ili hiyo pdf uliyotaja ni kwa ajili ya kusomea files ambazo zipo ktk format hiyo.
kuna adobe pagemaker ambayo siku hizi inajulikana kama indesign, ndio hiyo unayomaanisha? Adobe wana software nyingi sana ili hiyo pdf uliyotaja ni kwa ajili ya kusomea files ambazo zipo ktk format hiyo.