allydasmartboy
Member
- Jul 14, 2018
- 36
- 7
Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa nafasi SUA na UDOM wakati kuna wenzao wenye three wamepata tena kwa maajabu wote walijaza course sawa hv system ya mwaka huu ipo je???
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app