Msaada kwa mliotangulia kujenga

Msaada kwa mliotangulia kujenga

Mleta Mada amefanya kuwe na Majibu tofauti, kwanza hajasema vipimo vya nyumba yake, pili hatutajua mlalo wa kiwanja chake, kama Kiko tambarale au kipo kwenye mwinuko.

Kwahiyo majibu mengi atakayopata hapa yatakuwa ni Makadirio zaidi kuliko Uhalisia.
Kiwanja kipo kwenye tambarale mkuu
 
1. 4x2=8
2. 3.5x2=7

Jumla ya mzunguko ni 15m.

Note: 1m=tofali 2.
15x2=30 laini moja.

1 A. Msingi wa laini 7
7x30=210 hizi ni tofali za msingi.

1. B. Walling hadi kwenye lenta
30x laini 10=300.

Hivyo chumba kimoja kuanzia msingi hadi lenta ni tofali 510 tu.

Jitahidini kuheshimu taaluma.

Hayo makadirio ya chumba kimoja tofali 2500 ni upotoshaji mkubwa sana
Tofari 2500 ni nyumba kubwa.Mimi tofari 2700 nilipita vyumba 4,toilets 2,sebule kubwa na jiko.
 
Mleta Mada amefanya kuwe na Majibu tofauti, kwanza hajasema vipimo vya nyumba yake, pili hatutajua mlalo wa kiwanja chake, kama Kiko tambarale au kipo kwenye mwinuko.

Kwahiyo majibu mengi atakayopata hapa yatakuwa ni Makadirio zaidi kuliko Uhalisia.
Ila hayatokuwa mbali na uhalisia.
Kama fundi mbobezi ataangalia urefu wa kitanda ni 6 ft. Kwa uwiano huo atajua urefu wa ukuta.
From there, proportionality kirahisi utajua.
 
Back
Top Bottom