Shukrani sanaTofari 1200
Bati 75 mpaka 80
Speaking from experience
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Tofali 1500Habari za mchana wakuu?
Ninaomba wenye uzoefu na maswala ya ujenzi mnisaidie hapa.
Kulingana na ramani hii, mpaka nyumba ikamilike inaweza kutumia tofali ngapi na bati ngapi?
Nawasilisha.View attachment 2390129
Tofali aina gani(saruji nchi ngapi au kuchoma ukubwa gani)?Na hayo mabati ya aina na urefu gani?Tofari 1200
Bati 75 mpaka 80
Speaking from experience
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Daah msiwe wepesi kupotosha hata kama umejenga mara 100.Tofari 1200
Bati 75 mpaka 80
Speaking from experience
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu unashukuru upepo?Shukrani sana
Nyumba haina vipimo, hizo tofali umezipataje. Msingi tofali ngapi? Boma je?Tofari 1200
Bati 75 mpaka 80
Speaking from experience
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Jamaa hayuko siriaz huyo, nyumba haikadiwi kwa macho.Tofali aina gani(saruji nchi ngapi au kuchoma ukubwa gani)?Na hayo mabati ya aina na urefu gani?
Wanajipa hofu tu.Ukitaka kujenga,weye lianzishe.Ukijidai unapiga vihesabu unakwama.Jamaa hayuko siriaz huyo, nyumba haikadiwi kwa macho.
Ramani ya mleta hoja haina vipimo hivyo ni ngumu kupata makadirio sahihi
1. 4x2=8Makadirio ya standard room yaani 4m kwa 3.5m unatakiwa uwe na tofati kati ya 2000 hadi 2500.
1. 4x2=8
2. 3.5x2=7
Jumla ya mzunguko ni 15m.
Note: 1m=tofali 2.
15x2=30 laini moja.
1 A. Msingi wa laini 7
7x30=210 hizi ni tofali za msingi.
1. B. Walling hadi kwenye lenta
30x laini 10=300.
Hivyo chumba kimoja kuanzia msingi hadi lenta ni tofali 510 tu.
Jitahidini kuheshimu taaluma.
Hayo makadirio ya chumba kimoja tofali 2500 ni upotoshaji mkubwa sana
ukubwa wa nyumba za kibongo unajulikana , vyumba 3.5 x 3.5 m , sebule 4x 5 , jiko 2.5 x 3Jamaa hayuko siriaz huyo, nyumba haikadiwi kwa macho.
Ramani ya mleta hoja haina vipimo hivyo ni ngumu kupata makadirio sahihi
Kabla ya yote yatupasa kujua yafuatayo:Habari za mchana wakuu?
Ninaomba wenye uzoefu na maswala ya ujenzi mnisaidie hapa.
Kulingana na ramani hii, mpaka nyumba ikamilike inaweza kutumia tofali ngapi na bati ngapi?
Nawasilisha.View attachment 2390129