Hizo herufi ni security check.Ukizikosea unaletewa nyingine na unatakiwa uzijaze tena kwenye nafasi uliyopewa.Hizo herufi zimechanganywa sana -zipo herufi kubwa na ndogo pia tarakimu.na mm naomba kuelekezwa mwanzo kabisa.ninapoingia olas nime click apply for loan inaniletea herufi za kujaza niki submit inaleta zingine
Asante.nimefanikiwaHizo herufi ni security check.Ukizikosea unaletewa nyingine na unatakiwa uzijaze tena kwenye nafasi uliyopewa.Hizo herufi zimechanganywa sana -zipo herufi kubwa na ndogo pia tarakimu.
Ndio na trh 31 JulyUnaweza omba mkopo bila kupata matokeo yaform six kweli?
njoo pm nkuelekezeMimi nimekwama kwenye kuaploud picha aliyefanikiwa anisaidie
Asante sanaNdio na trh 31 July
Picha inayotakiwa ni 150pixel ×120 pixels nenda photoshop ukaeditaMimi nimekwama kwenye kuaploud picha aliyefanikiwa anisaidie