Msaada kwa matokeo ya rufaa

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Hello magreat thinkers! Mdogo wangu kapata dv3-22 csee 2011, but comb hazjabalance kutokana na kupata D ktk masomo ya Geo Phys na Histr, so naomba naomba msaada kwa jinsi ya kukata rufaa kwa matokeo na mda unaochukua hadi kupata majibu ya rufaa pamoja na gharama na negative effects zake.. Naomba kuwasilisha.
 
ku appeal ni sawa na kaz bure..sikushaur kwa hilo,matokeo yatarud vile vile..au akafel zaidi..d kua f..anyway nakumbka miaka 2 nyuma gharama ilikua kw somo 1 ni elfu 20,zen ts long process coz lazma kuchukua 4m baraza then u send kwa xul aliyosoma dogo..kwa ajil y signatur y mkuu w shule...ila kama pesa iko mukinga dogo aende private nafas atapata if he/shi has a credit...!
 
Back
Top Bottom