ukiiwasha inawaka kwa sekunde ngapi?capacity imeandikwa kwa nje? ukiwa na salio washa Siri kwenye settings alafu jaribu kama inakubali....hii simu kuxema kweli nimeipata kwa bei rahisi tofauti na mategemeo yangu nimeangalaia serial no. kama walivyoelekeza ndugu zangu humu JF, No. zile zilikubali kwenye ile site lakin bado na mashaka nataka evidence nyingine ya kunijulisha kama I have genuine I Phone 4s,
Na pia IMEI NO. niliangalia kwa kawaida na ile iliyokuwepo ndani hizo no. zilikuwa tofaut
kweli imeandkwa kwa nje capacity, ina maana ni fake, hyo siri naiona niiweke on au?
Origina ingekwambia "what can i help you with'',,,duh nimeweka on na kubonyeza hyo button naona nimekaa 2 ile ile page!
hyo i tunes haipo lakini kuna MRP store! Ambayo imeniwezesha kupata twitter messenge,facebook chat,msn, yahoo