Kuna watu waajabu Dunia hii acha 2!Chuo kikuu cha SAUT tawi la bukoba kipo wapi mkuu!!? Na chuo cha ualim Katoke je? vp chuo cha afya Rubya!!!? hna ndolage school of nursing unaiweka wapi?? Mkuu ucpende kukomenti vitu ucvyovjua utakuja uumbuke. ni bora ukaa kimya endapo hujui kitu
Uwezo wa kufanya maamuzi umepungua? Hata hili ni la kuomba ushauri?
em mtoa mada aje ataje hicho chuo alichokuwa anasoma huyo manzi... isije ikawa namtetea bure!
mkuu sasa mbona kwenye mada umeandika chuo cha uwalimu.. au huyo dada wa uwalimu ndo alimuunganishia mchizi..!!!kinaitwa Ndorage school of nursing
nawakubaligi hapo tu kwenye kujitetea..!Bado alikua anatafuta the right suitor katika hao wanaume na ndiyo maana hakuwa tayari kutoa gemu.
Gemu ilifanyika uck na demu akatoa ushirikiano jamaa litaka morning glory demu akagoma ndio shida ilipoanzia........Bado alikua anatafuta the right suitor katika hao wanaume na ndiyo maana hakuwa tayari kutoa gemu.
Ilibidi ifanyike kwasababu jamaa aliikomalia lakini asubuhi mbeiging alishinda.Gemu ilifanyika uck na demu akatoa ushirikiano jamaa litaka morning glory demu akagoma ndio shida ilipoanzia........
Daaah!!! ImepenyaKuna wasichana wa kuweka nao malengo mkuu... SIO WA CHUO
Aaaah! Kumbe morning glory sio ile ya maombi ya alfajiri??? Daah kichwa changu kizitoooo. [emoji23][emoji23][emoji23]Gemu ilifanyika uck na demu akatoa ushirikiano jamaa litaka morning glory demu akagoma ndio shida ilipoanzia........
Hahahaha inafanana na hiyo kwa wanandoa [emoji12]Aaaah! Kumbe morning glory sio ile ya maombi ya alfajiri??? Daah kichwa changu kizitoooo. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha inafanana na hiyo kwa wanandoa [emoji12]
Unaimba na mapambio kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
mkuu sasa mbona kwenye mada umeandika chuo cha uwalimu.. au huyo dada wa uwalimu ndo alimuunganishia mchizi..!!!
Kumbuka nikiwa huku kwetu ileje mkoa mpya wa songwe najua dar ni mkoaniHuyo ni mwanaume wa mkoani tu