Ikiwa Kifo ni mpango wa Mungu kwanini watu huwa tunamuomba atuepushe nacho? Hata wale wagonjwa tunawaombea Mungu awaponye je, hatuendi kinyume na mapenzi yake?

Katika watu nao wakubali jf no moja ni ww kaka hata katika mada ambazo ziwe ndogo kiasi gani husiti kutoa mchango wako Tena bila kumkwaza mtu uko vr kaka