chotarasukari
Senior Member
- Jan 6, 2013
- 110
- 23
Habari za majukumu wakuu.
Nina Dell gx280
sifa zake:
HDD :80GB
RAM :2GB
PROCESOR :3.6GHz
OPERATING SYSTEM : WINDOWS XP ROYALE SP3 2010
JE Ninaweza weka WINDOWS 7 na ikakaa vizur bila kuwa nzito?.
MASAADA WAKUU
Ndio inawezekana, Machine inakidhi vigezo vya kutumia windows 7
vigezo vipi? na kwa hizo sifa itawezekana na isiwe nzito katika utendaji wa kazi?.
Itakaa win 7 bila ttzo may ttzo lbda kwenye drivers
Windows 7 systemvigezo vipi? na kwa hizo sifa itawezekana na isiwe nzito katika utendaji wa kazi?.
Windows 7 system
requirements If you want to run Windows 7 on your PC,
here's what it takes: 1 gigahertz (GHz) or faster 32-bit (x86) or 64-bit (x64) processor 1 gigabyte (GB) RAM (32-bit) or 2 GB RAM
(64-bit) 16 GB available hard disk space (32-bit) or
20 GB (64-bit) DirectX 9 graphics device with WDDM 1.0
or higher driver
we Fanya backup weka win 7 dn cheki ikizingua utarudisha xp but I'm so sure itakuwa poa coz nshawhi weka kwa pc zina spec za chini ya hapo