hiyo charger mpyaa uliyonunua umenunua na USB cable yake? na je hiyo charger inatoa CURRENT (mA) kiasi gani? kwa simu kama C8 unatakiwa utumie charger inayotoa kuanzia 1000mA au 1A na zaidi. Angalia hiyo charger kwa makini tafuta mahali pameandikwa OUTPUT then ujue inatoa power kiasi gani. Pia badilisha USB cable usitumie zile USB cable zenye taa zinawakawaka kama taa za xmass, pia epuka zile USB cable ambazo ni Ndefu sana
Pia kama charger hiyo ni feki, inaweza kuwa imeandikwa Ratings za uongo, kwa mfano mimi ninayo charger fulani imeandikwa OUTPUT 5.2V 1500mA lakini haiwezi kuchaji hata lumia ndogo. Angalia picha hapo chini.
View attachment 364927 View attachment 364927