Msaada kwa hili la St. Johns | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwa hili la St. Johns

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Persie, Oct 11, 2012.

 1. Persie

  Persie Senior Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna hili la BAF VS BBA kwamba st johs wanafunzi wote wa busness wanasoma BBA mwaka wa kwanza na wapili semister ya kwanza then semister ya pili ndo wale wa BAF wanaanza kusomea BAF yao ndo kila chuo kipo hivi au st johns msaada kwa hilo sielewi utaratibu
   
 2. Persie

  Persie Senior Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hamna wa kunisaidia jamani
   
 3. L

  LIBERATUS KAVISHE Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ata mimi sielewi, kwani we upo campus ya dar au main campus?
   
Loading...