Wakuu habari yenu,
Natanguliza shukrani kwenu Nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka juzi na alipata division two ya 19 na masomo ya sayansi alpata Kama ifuatavyo phyz-C, chem-C,bios-C.
Sasa alikuwa anataka kusoma kozi za afya za nesi au pharmacy kwa ngazi ya diploma vyuo vy serikali.Sasa ombi langu kwenu ni kunisaidia vyuo vya serikali vinavyotoa kozi mojawapo Kati ya hizo ambavyo havina ushindani mkubwa ili aweze kupata.
Na Kama ni vigumu je kwa ngazi ya cheti anaweza kupata kweli kwa ushindani uliopo?
Kwenu wakuu nawasikiliza