Hizo ambazo zimekaa kwenye desktop Yako sio app zenyewe Bali ni link (shortcut) ya hizo program.
Hio error hapo umepewa ni kwamba computer Yako Haina uwezo wa kufungua hizo shortcut, mara nyingi hii error hutokea unapoweka program (sometime hata virusi) na hio program kuharibu default way ya kufungulia vitu.
Kama file explorer inafunguka nenda c then windows then immersive control panel utakuta exe ya setting huko, jaribu kufungua inafunguka?