Mkuu unatumia platform gani? i.e Blogger ama WordPress? Nikushauri tuu tumia Premium Templates ambazo utalizimika kununua na chonde chonde epuka kutumia Free templates maana zitakuja kukusumbua katika maswala ya Search Engine Optimization(SEO), Maswala ya utayari wa kupokea Ads. Bofya >>
Hapa<< kuchagua template unayotaka.