Hicho chuo kipo musoma mjini ni cha praiveti kuna shule pia hapo hapo ila aende mana chuo kina majanga wakti mwingine huduma siyo nzuri nakifahamu siwezi sema mengi aiseee mana huku ni mtandaoni hayo machache yanakutoshaDah! Okay
Hela zenyewe ngumu sa hivi bora kumwambia ukweli aamue mwenyewe kabla hajateketeza pesa zake.Hicho chuo kipo musoma mjini ni cha praiveti kuna shule pia hapo hapo ila aende mana chuo kina majanga wakti mwingine huduma siyo nzuri nakifahamu siwezi sema mengi aiseee mana huku ni mtandaoni hayo machache yanakutosha
Asante, Yeye ameitwa Tabora campus ila kama main ni hivyo hata huko Tabora naanza kupata wasiwasi!Hicho chuo kipo musoma mjini ni cha praiveti kuna shule pia hapo hapo ila aende mana chuo kina majanga wakti mwingine huduma siyo nzuri nakifahamu siwezi sema mengi aiseee mana huku ni mtandaoni hayo machache yanakutosha
Sawa mkuuAsante, Yeye ameitwa Tabora campus ila kama main ni hivyo hata huko Tabora naanza kupata wasiwasi!