mm mwenyew nimeomba hapo NIT ya kwanza trasport and logstcs na ya pili ni procurement ndo ,tujuze vizur wadauSamahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?
Maana ameapply hapo anataka kusoma transport and logistic management nyingine ni procurement and logistic management. Ninapenda kujua ili nijipange atakabiliana vipi na hivyo vitu.
Funguka mkuu kwa faida ya wengi kama sio wote hata kwa uchacheME HIKI CHUO NAKIFAHAMU VIZURI APAMBANE TU
KINA WALIMU WAZURI HASA WA BUSINESS, ACCOUNTS NA MARKET NA KWA FACULT BBA WAPO VIZURI SANAFunguka mkuu kwa faida ya wengi kama sio wote hata kwa uchache
Vipi kwa kozi nyngne kama transport and logistics vipi walimu maktaba mazingira na mengine yanaruhusuKINA WALIMU WAZURI HASA WA BUSINESS, ACCOUNTS NA MARKET NA KWA FACULT BBA WAPO VIZURI SANA
CHANGAMOTO LIBRARY NI NDOGO NA HATA MADARASA PIA JAPO IYO KERO KWA SASA INAELEKEA KUTATULIWA KUHUSU MICHEZO HAKUNA UWANJA WA BASKET
WAPO VIZURI SANA UKIANGALIA IYO NDO CORE COURSE YA CHUO KABLA YA KUANZISHWA IZO NYINGINEVipi kwa kozi nyngne kama transport and logistics vipi walimu maktaba mazingira na mengine yanaruhusu
Changamoto zipo lakini ni za kawaida kama vyuo vingine na hizi changamoto nadhani kwa kuwa miaka ya karibuni wameanzisha course nyingi hivyo kupelekea kupokea wanafunzi wengi. 1. Madarasa ya kusomea, hii inapelekea kusoma kwa shift unaweza kukuta mnasoma mwaka mmoja lakini unakuta wengine wanamalizia muhula wengine wapo likizo hivyo hivyo. 2. Sehemu za kulala pia ni changamoto kuna uwezekano wa jukosa hostel za chuo hivyo ajiandae kupanga hostel nje ya chuo. 3. Changamoto ya ngono ni kawaida sehemu zozote zile. 4. Vibaka upande wa usiku ajichunge sana anapokua anatoka nje ya chuo kipindi cha usiku. Mazingira yapo poa tu kwa kusomea hasa kipindi hichi cha kiangazi maana wametengeneza vimbweta vya kusomea vingi tu chini ya miti kuzunguka chuo. 6. Chuo kipo mjini hivyo changamoto za mjini za kawaida. 7. Chuo kipo karibu na soko hivyo la vyakula la mabibo. 8. Walimu wapo poa tu. 9. Maktaba pia ni changamoto maana maktaba iliyopo ni ndogo lakini watu wanashea hivyo hivyo na mambo yanakwenda lakini nahisi wanlifanyia kazi hiloSamahani wakuu kwa anayekijua vizuri chuo cha NIT mazingira ya chuo yapo vipi kwa kusoma, na changamoto atakazo kumbana nazo huyu dogo ni kama zipi?
Maana ameapply hapo anataka kusoma transport and logistic management nyingine ni procurement and logistic management. Ninapenda kujua ili nijipange atakabiliana vipi na hivyo vitu.
Mazingira mazuri. Aende tu kusoma,lakini ajue kuwa kuna kipibdi cha kuachiana venue za kusoma. Itabidi yeye awepo likizo kwa kipibdi fulani huku wengine wakiwa chuo
Sijakupata hapa mkuuWameniboa siioni kozi yangu kwenye machaguo.
Yaani kwenye Guidebook hiyo kozi ninayoitaka ipo lkn nikitafuta kwenye cas siioni...Sijakupata hapa mkuu