Msaada kwa anayejua wimbo huu

jabarijoka

Member
Jul 5, 2020
23
19
Kuna wimbo ulioimbwa na msanii kutoka Kenya unaongelea mafisadi. Kiitikio chake ni "Sitasimama maovu yakitawala"
Nisaidieni jina la nyimbo iyo na jina la msanii

Nautafuta sana
 
Mleta uzi hebu ongeza maneno. Au nchi ya kitu kidogo, imeumbwa na watu wadogo, ukitaka chai ewe mama nenda Limuru...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom