Msaada kwa anayejua namna ya ku_reseat

Msaada kwa anayejua namna ya ku_reseat

Joined
Dec 22, 2013
Posts
80
Reaction score
37
Habarini za asubuhi wana jamvi..
Nina ndugu yangu alipata division 4 ya 26 kwenye mtihani wa form 4 (2016). Kwa sasa anataka kurudia pepa na shauku yake kubwa achukue sayansi.

Naomba msaada kwa mambo yafuatayo:
1. Taratibu za kurudia pepa ni zipi kwa sasa? Yan unafanya yote ama uliyofeli tu?
2. Kituo gani kwa hapa dar kinatoa huduma mzuri ya tuition kwa reseaters
3. Ada ya kurudia pepa ni sh. Ngapi!?
 
1. Taratibu za kurudia paper inategemea hpo awali ulipata credit ngap na ili usome Advance angalau uwe na credit 3
2.Kuhusu kituo ni juhud zako mwnyewe maana vituo ving vipo kibiashara tu hasa masomo ya sayansi kwenye vituo ni shidah
Kma vp jaribu Kinondon Muslim au Hekima.
3.kuhusu ada ya kurudia paper nenda kwenye tovuti ya NECTA
IJUMAA KAREM

Wako katika ujenzu wa taiga
MONOTHEIST
 
Habarini za asubuhi wana jamvi..
Nina ndugu yangu alipata division 4 ya 26 kwenye mtihani wa form 4 (2016). Kwa sasa anataka kurudia pepa na shauku yake kubwa achukue sayansi.

Naomba msaada kwa mambo yafuatayo:
1. Taratibu za kurudia pepa ni zipi kwa sasa? Yan unafanya yote ama uliyofeli tu?
2. Kituo gani kwa hapa dar kinatoa huduma mzuri ya tuition kwa reseaters
3. Ada ya kurudia pepa ni sh. Ngapi!?
Mkuu kuhusu kituo sijui ila kwakua mdau kasema hasa masomo ya science n shida kwwnye vituo vingi..Mimi haya takusaidia nafundisha hapa riverside ubungo karbu na Azania....hapa ndo nimeungua centre

Contact: 0743282756
 
Back
Top Bottom