de98
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 737
- 760
Niko namfanyia mwanafunzi application hapa ngazi ya diploma katika website ya NACTE
Nimekwama hapo kuingiza izo option
Yeye kamaliza form 4 tu! Na anataka ajiunge na vyuo vinavyotoa fani ya afya
Naomba kujua hasa ufafanuzi wa izo option katika picha hapo chini.
(A). ordinary diploma (nta level 6) holder
(B).basic technician certificate (nta level 4) holder
(C).grade iii a holder
Natanguliza shukran!