AsanteNi kozi ya uwalimu kwa ajili ya wanafunzi wenye special needs (viziwi, bubu etc)
Seriously mzee peleka mtu veta akasomee ujuz wa kitaa hiz za hvo noma
Ujuzi gani akasomee maan nina mdogo angu nataka nimpeleke veta..Seriously mzee peleka mtu veta akasomee ujuz wa kitaa hiz za hvo noma
Jinsia ganUjuzi gani akasomee maan nina mdogo angu nataka nimpeleke veta..
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
inahusisha ufundishaji wa watoto wenye uhitaji/uangalizi maalum ( bubu, viziwi, wasioona, wenye utindio wa ubongo nk) Soko lake linachukua watu now I mean fursa zimeanza fungukaNaomba mnisaidie kunipa mwanga kidogo kuhusu hii corse, nahitaji mdogo wangu akasome.
Naombeni muongozo kwa watu wanaoijua hii course[emoji120].
Sawainahusisha ufundishaji wa watoto wenye uhitaji/uangalizi maalum ( bubu, viziwi, wasioona, wenye utindio wa ubongo nk) Soko lake linachukua watu now I mean fursa zimeanza funguka
Inahusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalumu kama wenye ulemavu wa kusikia, kuona, na ulemavu wa akili (mtindio wa ubongo, usonji n.k), patandi wanayo hiyo course kwa certificate na diploma pia UDOM.Naomba mnisaidie kunipa mwanga kidogo kuhusu hii corse, nahitaji mdogo wangu akasome.
Naombeni muongozo kwa watu wanaoijua hii course[emoji120].
Oh asante sanaInahusu elimu kwa watoto wenye mahitaji maalumu kama wenye ulemavu wa kusikia, kuona, na ulemavu wa akili (mtindio wa ubongo, usonji n.k), patandi wanayo hiyo course kwa certificate na diploma pia UDOM.
Miaka michache nyuma kulikua na chuo cha kumbukumbu ya sebastian kolowa (Sebastian Kolowa Memorial University) Lushoto-Tanga walikua vizuri sana mtu alikua anaspecialize kwenye ulemavu wa aina moja kama ni kusomea ulemavu wa kusikia basi unakomaa hapo utafundisha vitu vingi ikiwemo anatomy ya sikio, jinsi ya kupima sikio lenye shida, na utafundishwa lugha ya alama na mwisho wa siku wata kupima kwa practical examination.
Sent using Jamii Forums mobile app
AsanteElim ya watoto wenye mahitaji maalum km wenye uoni hafifu ambayo wanatumia nukta nundu kusoma na wasio ckia hutumi lugha ya alama,vyuo vinavyotoa course hyo ni UDOM,AMUCTA -TABORA, na PATANDI-ARUSHA certificate
Labda nkazan wakiume lakn fkria vzur pia